Jumatatu, 3 Machi 2014
UNAWAJUA HAWA, ILIKUWA MWAKA 2002
Kutoka kushoto waliokaa ni Omary Makunde, akifuatiwa na Asia Mohamed, Maulid Kitenge, Flora Nducha na Amina Molel. Waliokaa mbele kulia ni Isaac Gamba Malibwa. Hii ilikuwa mwaka 2002 wakati walipokwenda kumpongeza mfanyakazi mwenzao Maulid Kitenge nyumbani kwake baada ya mkewe kujifungua mtoto Shadya
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni