.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 6 Machi 2014

USHAHIDI WA DAKTARI WAMLIZA OSCAR PISTORIUS MAHAKAMANI

Oscar Pistorius ameangua kilio mahakamani tena wakati jirani wake akielezea tukio la kutisha la kumuua mpenzi wake Reeva Steenkamp kwa kumpiga risasi.

Jirani huyo Dk. Johan Stipp alikimbia kwenye nyumba ya mwanariadha huyo mlemavu, na kumkuta Oscar akiwa amempigia magoti Reeva akiomba Mungu amsaidie asife.
Wakati ushahidi huo ukitolewa Oscar aliyekuwa na rozari mahakamani alionekana akiomba Mungu huku machozi yakimtiririka kila Dk. Stipp alipokuwa akielezea tukio hilo.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni