.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 5 Machi 2014

WAKILI WA OSCAR PISTORIUS ADAIA MASHAHIDI WANAPINDISHA UKWELI

Wakili wa Oscar Pistorius leo ameamua kuuponda ushahidi uliotolewa na wanandoa ambao walisema walisikia mwanamke akipiga mayowe na kisha kusiki milio ya risasi usiku ambao mwanariadha huyo alimuua mpenzi wake.

Wakili Barry Roux emesema kumekuwa na uwiano wa ushahidi uliotolewa na wanandoa hao Michell Burger na mkewe Charl Johnson, jambo ambalo linaonyesha walijiandaa kusema sawa ili kupindisha ukweli.

Wakili huyo ameongeza kuwa kumekuwa hakuna tofauti pia katika ushahidi walioutoa polisi baada ya tukio hilo la kuuwawa kwa Reeva, jambo linaloashiria wanandoa hao walikuwa wakifundishana watakachosema mahakamani.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni