Vikosi vya Urusi vinavyoshikilia uwanja
wa ndege wa jeshi wa Belbek katika mji wa Crimea wamefyatua hewani
risasi za kuwaonya wanajeshi 300 wa Ukraine waliotaka kurejea kwenye
kambi yao hiyo.
Wanajeshi wa Urusi katika kambi hiyo
wamewaonya wanajeshi wa Ukraine kutosogelea uwanja huo.
Risasi kadhaa za kuwaonya zilifyatuliwa
wa Ukraine wasio na silaha na kutishiwa kupigwa risasi iwapo
wataendelea kusogea mbele.
Wanajeshi wa Ukraine wakiwa hawana silaha




Hakuna maoni :
Chapisha Maoni