.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 25 Aprili 2014

BAADA YA SHOW YA PASAKA MWANZA, SKYLIGHT BAND WAREJEA NYUMBANI KUENDELEZA BURUDANI LEO THAI VILLAGE

Aneth Kushaba AK 47 akiongoza waimbaji wenzake kutoa burudani kwa wapenzi wa Skylight Band Ijumaa ya mwisho kabla ya kuelekea jijini Mwanza kwenye ukumbi wa Thai Village Masaki jijini Dar.Muziki ni Hisia na ndicho anachokifanya hapa mpiga gitaa mahiri wa Skylight band Allen Kiso Mundende.
Untitled 1Hapo sasa vijana watanashati wa Skylight Band wakiongozwa na Sam mapenzi katikati wakifanya yao ndani na Thai village Masaki.
Ni raha tupuuuu tu hapa mziki mtamu na mzuri toka kwa Skylight Band

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni