BALOZI WA RWANDA AMUAGA RAIS KIKWETE IKULU DAR ES SALAAM
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha na kuzungumza na Balozi wa Rwanda nchini Tanzania Mhe.Ben Rugangazi aliyekwenda ikulu jijini Dar es Salaam kuagana na Rais baada ya kumaliza muda wake wa kazi nchini.(picha na Freddy Maro)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni