.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 23 Aprili 2014

BARABARANI DAR ASUBUHI YA LEO

Magari yakiwa katika foleni kubwa eneo la Sayansi katika barabara ya Ali Hassan Mwinyi jijini Dar es Salaam leo asubuhi. Imechukua zaidi ya dakika arobaini kutoka Sayansi hadi kufika katika taa za makutano ya barabara ya Mwai Kibaki kutokana na foleni hiyo.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni