Boda boda zikiwa zinasubiria abiria huku waendeshaji wake wakiwa wameziacha kukimbia mvua iliyokuwa ikiendelea kunyesha leo asubuhi
Hali ilivyokuwa katika makutano ya barabara Shekilango
Wingu zito liliwafanya madereva kuwasha taa za magari yao leo asubuhi




Hakuna maoni :
Chapisha Maoni