Kanisa la Roman Katoliki la Mtakatifu Bernadeta ambalo lipo Kilema, wilaya ya Moshi Vijijini mkoani Kilimanajaro lenye miaka 120. Kanisa hili lilijengwa na Mjerumani.
Kanisa hili limekuwa likivutia watu wengi wanaofika Kilema
Mandhari ya kijani kibichi Kilema, Moshi vijijini
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni