.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumamosi, 19 Aprili 2014

LIGI KUU UINGEREZA, TOTTENHAM YAICHAPA FULHAM 3-1

 Ligi kuu nchini Uingereza imeendelea leo kwa kushuhudia Tottenham ikiifunga Fulham mabao 3-1 katika mchezo uliomalizika punde na uliokuwa na ushindani wa hali ya juu kutoka kila upande.
 Magoli ya Tottenham yaliwekwa kimiani na Paulinho, Harry Kane na Younes Kaboul yaliatosha kuhakikisha Tottenham inazoa pointi zote tatu muhimu kwa kikosi hicho

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni