.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumamosi, 19 Aprili 2014

MADARAJA YA BARABARA YA MWENGE - TEGETA MFANO WA KUIGWA

 Moja ya madaraja ya barabara ya Mwenge - Tegeta linavyoonekana. Watumiaji wa barabara hii ambayo bado haijakalika wamewasifia wajenzi wa barabara hii kwa kujenga madaraja makubwa na imara, na kuwataka wajenzi wengine wa barabara nchini kuiga mfano wa madaraja hayo
  Daraja hili lipo maeneo ya Lugalo, la kwanza ukitokea Mwenge kwenda Tegeta
                      Muonekano wa moja ya madaraja ya barabara ya Mwenge - Tegeta

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni