Jumamosi, 12 Aprili 2014
MVUA YAKATA MAWASILIANO YA DAR NA BAGAMOYO, DARAJA LA MPIJI LAKATIKA
Daraja la mto Mpiji likiwa limekatika na kuwafanya wananchi hawa kushindwa kutoka upande mmoja kwenda mwingine. Kumeguka kwa daraja hili mapema leo, kumesababisha kukatika kwa mawasiliano kati ya mkoa wa Pwani hasa Bagamoyo na jiji la Dar es Salaam, kwani hii ndio njia kuu ya kutoka na kuingia Bagamoyo.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni