Jumatatu, 14 Aprili 2014
RAIS KIKWETE AMLILIA MUHIDIN MAALIM GURUMO
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia salaam za rambi rambi Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mheshimiwa Fenella Mukangara kufuatia kifo cha mwanamuziki maarufu wa muziki wa dansi nchini, Muhidin Maalim Gurumo kilichotokea jana katika hospitali ya Taifa Muhimbili alikokuwa amelazwa kwa matibabu ya ugonjwa wa moyo uliomsumbua kwa muda mrefu.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni