.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 25 Aprili 2014

SHENENA KUBWA YA HEROINE YAKAMATWA KWENYE BOTI KATIKA FUKWE YA KENYA


Mabaharia wa kikosi cha jeshi la baharini la Australia wamekamata magunia 46 ya dawa za kulevya aina ya heroine zenye thamani ya dola milioni 290, kwenye boti moja katika fukwe ya bahari nchini Kenya.

Kwa mujibu Shirika la Utangazaji la Australia dawa hizo za kulevya zilikuwa zimefichwa chini ya mifuko ya saruji.

Mnamo mwaka 2004, cocaine yenye thamani ya shilingi bilioni 6.4 ilikamatwa Nairobi na Malindi Kenya ambayo inasemekana kuwa ni shehena kubwa ya dawa za kulevya kuwahi kukamatwa barani Afrika.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni