.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 16 Aprili 2014

TASWIRA MBALIMBALI ZA MAZIKO YA MAALIM GURUMO HAPO JANA

 Waombolezaji wakiwa nyumbani kwa mwanamuziki nguli nchini Muhidin Maalim Gurumo kijijini kwao Masaki wilaya ya Kisarawe mkoani Pwani kabla ya maziko yaliyofanyika jana mchana
 Waombolezaji wakiwa msibani, kijijini Masaki wilaya ya Kisarawe mkoa wa Pwani
 Waombolezaji wakibeba jeneza lenye mwili wa Muhidin Maalim Gurumo kuelekea msikitikini kabla ya kuelekea makaburini
                                                                Safari ya kuelekea makaburini 

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni