.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 9 Mei 2014

FA YAMPIGA FAINI YA PAUINDI 10,000 MOURINHO

Chama cha soka nchini Uingereza ( FA ) kimempiga faini ya paundi 10,000 meneja wa timu ya soka ya Chelsea, Jose Mourinho kutokana na kauli yake ya kejeli ya kumpongeza mwamuzi aliyechezesha mechi ya ligi kuu Uingereza, mchezo kati ya Chelsea na Sunderland tarehe 18 mwezi uliopita, mchezo uliomalizika kwa Chelsea kufungwa mabao 2-1

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni