Timu ya soka ya Manchester United wiki hii haitamtangaza kocha mkuu wa timu hiyo kuchukua nafasi ya David Moyes aliyetimuliwa hivi karibuni, japo kocha wa timu ya taifa ya Uholanzi, Louis Van Gaal amekuwa akitajwa kuchukua nafasi hiyo.
Tarifa zaidi zinasema kocha huyo uhenda akatangazwa baada ya kumalizika kwa fainali za kombe la Dunia nchini Brazil baadaye mwaka huu.
Kwasasa timu hiyo inanolewa na kocha wa muda Ryan Giggs.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni