.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 12 Mei 2014

RAIS KIKWETE AWAHUTUBIA WAUGUZI ARUSHA


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wauguzi na wananchi kwenye sherehe za wauguzi duniani ambazo kitaifa zimefanyika Mjini Arusha katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid leo Tarehe.12.05.2014 (picha na Freddy Maro)

Baadhi ya wauguzi waliohudhuria sherehe za siku ya wauguzi duniani wakifuatilia kwa makini Hotuba ya mgeni rasmi,rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete mjini Arusha leo (Picha na Freddy Maro)

Baadhi ya Wauguzi wakila kiapo cha uaminifu na kutunza siri za wagonjwa wakati wa maadhimisho ya siku ya wauguzi duniani yaliyofanyika katika uwanja wa michezo wa Sheikh Amri Abeid mjini Arusha leo ( Picha na Freddy Maro ).

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni