.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 12 Juni 2014

RAIS WA UEFA MICHEL PLATINI KUTOMUUNGA MKONO SEPP BLATTER KATIKA UCHAGUZI WA FIFA

                                    Sepp Blatter kushoto akiongea na Michel Platini

Rais wa Uefa Michel Platini amesema hatomuunga mkono rais wa Fifa Sepp Blatter katika uchaguzi utakaofanyika mwakani.

Blatter mwenye umri wa miaka 78, amekuwa kwenye shinikizo la kashfa ya kuipatia Qatar nafasi ya kuandaa Michuano ya Kombe la Dunia ya Qatar mwaka 2022.

Platini amenukuliwa akisema hatomuunga mkono Blatter na tayari amemfahamisha hivyo, kwa kuwa Fifa sasa inahitaji sura mpya.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni