Hizi ni mechi ambazo zitachezwa katika uwanja huu:-
June 15, 2014 23:00 Argentina v Bosnia-Herzegovina - Group F
June 18, 2014 23:00 Spain v Chile - Group B
June 22, 2014 23:00 Belgium v Russia - Group H
June 25, 2014 21:00 Ecuador v France - Group E
June 28, 2014 21:00 Winner Group C v Runner-up Group D
July 4, 2014 21:00 Quarter-finals
July 13, 2014 20:00 Final

Huu ni uwanja wa Estadio Nacional Mane Garrincha ambao upo katika mji wa Brasilia.
Uwanja huu una uwezo wa kuchukua watazamaji 68,009. Hizi ni mechi ambazo zitachezwa katika uwanja huu wakati wa fainali hizo za kombe la Dunia:-
June 15, 2014 17:00 Switzerland v Ecuador - Group E
June 19, 2014 17:00 Colombia v Ivory Coast - Group C
June 23, 2014 21:00 Cameroon v Brazil - Group A
June 26, 2014 17:00 Portugal v Ghana - Group G
June 30, 2014 17:00 Winner Group E v Runner-up Group F
July 5, 2014 17:00 Quarter-finals
July 12, 2014 21:00 Third place match.
Huu ni uwanja wa Estadio Castelao ambao upo katika mji wa Fortaleza. Uwanja huu una uwezo wa kuchukua watazamaji 58,704. June 15, 2014 17:00 Switzerland v Ecuador - Group E
June 19, 2014 17:00 Colombia v Ivory Coast - Group C
June 23, 2014 21:00 Cameroon v Brazil - Group A
June 26, 2014 17:00 Portugal v Ghana - Group G
June 30, 2014 17:00 Winner Group E v Runner-up Group F
July 5, 2014 17:00 Quarter-finals
July 12, 2014 21:00 Third place match.
Katika fainali hizi za kombe la Dunia zitakazoanza kuunguruma June 12' 2014, hizi ndizo timu zitakazocheza katika uwanja huu:-
June 14, 2014 20:00 Uruguay v Costa Rica - Group D
June 17, 2014 20:00 Brazil v Mexico - Group A
June 23, 2014 20:00 Germany v Ghana - Group G
June 24, 2014 21:00 Greece v Ivory Coast - Group C
June 29, 2014 17:00 Winner Group B v Runner-up Group A
July 4, 2014 21:00 Quarter-final
Huu ni uwanja wa Arena Pernambuco ambao una uwezo wa kuchukua watazamaji wapatao 44,248.

Uwanja huu upo katika mji wa Recife, na uwanja huu utatumika katika michezo ifuatayo:-
June 14, 2014 23:00 Ivory Coast v Japan -Group C
June 20, 2014 17:00 Italy v Costa Rica - Group D
June 23, 2014 21:00 Croatia v Mexico - Group A
June 26, 2014 17:00 USA v Germany - Group G
June 29, 2014 21:00 Winner Group D v Runner-up Group C
June 26, 2014 17:00 USA v Germany - Group G
June 29, 2014 21:00 Winner Group D v Runner-up Group C
Kesho tutaendelea kuviangalia viwanja vingine vitavyotumika katika fainali hizo za Kombe la Dunia zitakazoanza nchini Brazil June 12 hadi July 13' 2014
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni