.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 25 Julai 2014

MABAKI YA NDEGE YA ALGERIA ILIYOTOWEKA YAONEKANA NCHINI MALI

Mabaki ya ndege ya Algeria iliyotoweka ikiwa na abiria 116 wakati ikitokea Burkina Faso kwenda Algiers yamepatikana nchini Mali.

Rais wa Ufaransa ambaye nchi yake ilikuwa na abiria 51 kwenye ndege hiyo amesema ametuma kikosi chake kwenda katika eneo ilipoanguka ndege hiyo.

Kituo cha kuongozea ndege kilipoteza mawasiliana na ndege hiyo mali ya Swiftair hapo jana baada ya rubani kutoa taarifa ya kuwepo kwa mvua kubwa.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni