.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumamosi, 26 Julai 2014

MAKOMBORA YA ISRAEL YAENDELEA KUTEKETEZA UKANDA WA GAZA

 Mapigano kati ya Isrel na kikundi cha Hamas yakiwa yameendelea kuacha vilio, ambapo mpaka sasa watu 844 raia wa Palestina wamepoteza maisha yao wengi wao wakiwa raia baada ya makombora ya Israel kushambulia maeneo mbalimbali ya ukanda wa Gaza. 

Jana ijumaa pekee makombora ya Israel yaliteketeza nyumba 30 na kuua watu 55 akiwemo ya kiongozi wa kundi la Islamic Jihad pamoja na watoto wake wawili.
 Wanajeshi wa Israel wakipambana na waandamanaji wa kipalestina, Bet El karibu na Ramallah
 Polisi wa Israel akiwafyatulia risasi waandamanji wa Palestina jana ijumaa mashariki mwa Jerusalem
 Wanajeshi wa Isarel wakiwa wamesimama nyuma ya waumini wa Palestina waliokuwa wakifanya sala jana ijumaa katika mji wa zamani wa Jerusalem Mashariki.
Raia wa Palestina wakiwa katika maandamano ya mazishi ya Mohammed al Araj

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni