.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 22 Julai 2014

MCHEZAJI MWENYE MISULI AISUMBUA CHELSEA KATIKA MCHEZO WA KIRAFIKI

Mchezaji kipisi cha mtu Adebayo Akinfenwa ambaye anasadikiwa kuwa ni mchezaji mwenye misuli zaidi ameonyesha kiwango katika mchezo wa kirafiki dhidi ya Chelsea.

Licha ya kutofunga goli katika mchezo huo Akinfenwa anayechezea AFC Wimbledon alionyesha kuichachafya beki ya Chelsea.

Katika mchezo huo wa kirafiki John Terry alifunga mara mbili na kuisaidia timu yake wa Chelsea kuibuka na ushindi wa mabao 3-2.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni