.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 24 Julai 2014

POMBE ZAMTUMA ABIRIA WA RYANAIR KUTAKA KUFUNGUA MLANGO WA ABIRIA NDEGE IKIWA ANGANI

Abiria mmoja aliyekuwa amelewa pombe, amejaribu bila mafanikio kufungua mlango wa abiria wa ndege wa Ryanair ikiwa angani kuelekea Dublin akidhani ni malngo wa choo cha ndani ya ndege. 

Abiria huyo, Thomasz Mucha mwenye miaka 26 alikuwa amekunywa Vodca na bia wakati akifanya kitendo hicho. 

Hata hivyo wahudumu wa ndege hiyo walifanikiwa kumdhibiti Mucha na kumrudisha katika kiti chake na kumuweka chini ya uangalizi hadi ndege ilipotua salama.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni