.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 11 Agosti 2014

CHELSEA YASHINDA HUKU DIDIER DROGBA AKIUMIA

Maandalizi ya Ligi Kuu ya Uingereza kwa timu ya Chelsea yamekumbwa na pigo baada ya mchezaji wao Didier Drogba kuumia katika mchezo wao dhidi ya Ferencvaros.

Katika mchezo huo Cesc Fabregas pamoja na Ramires waliifungia Chelsea mabao safi na kufanya matokeo kuishia kwa ushindi wa mabao 2-1.
                                            Didier Drogba akiwa katika maumivu makali

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni