.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 11 Agosti 2014

MAMA AJIFUNGUA WATOTO WANNE NDANI YA MIEZI TISA JIJINI LONDON

Mwanamke mmoja Jijini London amejikuta akiwa mama wa watoto wanne ndani ya miezi tisa baada ya kutunga mimba ya watoto watatu mara tu baada ya kujifungua mtoto wa kiume.

Mama huyo Sarah Ward na mwanae wa kwanza Freddie akiwa na miezi tisa, alijifungua watoto watatu na mwenza wake Benn Smith jambo ambalo limewashtua.

Kwa sasa Mama Sarah anakibarua cha kubadilisha nepi 175, kuandaa chupa 80 za maziwa kwa ajili ya watoto hao kila wiki, kibarua ambacho si rahisi kukimudu.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni