.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 5 Agosti 2014

MANCHESTER UNITED YAITANDIKA LIVERPOOL MABAO 3-1 NA KUTWAA KOMBE


Kocha Louis van Gaal ametwaa kikombe chake cha kwanza akiwa na Manchester United, baada ya kuifunga Liverpool kwa mbao 3-1 na kubeba Kombe la Kimataifa la Mabingwa.

Mabao ya Manchester United yalitiwa kimiani na Wayne Rooney, Juan Mata pamoja na kinda Jesse Lingard huku Liverpool wakipata bao lao la kufutia machozi kupitia kwa Steve Gerrard.

Kwa ushindi huo Manchester United itakwea pipa Marekani kurejea nyumbani Uingereza baada ya kucheza michezo mitano nchini humo, bila ya kufungwa hata mchezo mmoja.
                                               Wayne Rooney akishangilia goli lake
     Wachezaji wa Manchester United wakimpongeza Mata baada ya kufunga bao

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni