.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 21 Agosti 2014

MKUU WA MAJESHI GUATEMALA AFARIKI DUNIA KATIKA AJALI YA HELKOPTA

Mkuu wa majeshi wa Guatemala, Jeneral i Rudy Ortiz ( pichani ) amefariki dunia baada ya helkopta aliyokuwa amepanda kuanguka karibu na mpaka wa Mexico usiku wa kuamkia leo, serikali ya Guatemala imethibitisha. 

Katika ajali hiyo, maofisa wengine wanne wa jeshi pia walifariki dunia papo hapo baada ya helkopta hiyo kuanguka katika eneo lenye milima katika jimbo la Huehuetenango. 

Chanzo cha ajali hiyo bado hakijajulikana, na rais wa Guatemala Otto Perez Molina ametuma salam za rambi rambi kufuatia kifo cha Jenerali Ortiz.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni