.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 27 Agosti 2014

MMOJA WA WAUAJI HATARI NCHINI COLOMBIA AACHIWA HURU KUTOKA GEREZANI

                                                                                  John Jairo Velasquez

Mmoja wa wauaji wa kulipwa hatari nchini Colombia ameachiwa huru kutoka gerezani baada ya kutumikia kifungo cha miaka 22 jela kati ya miaka 30 aliyoadhibiwa.

Muuaji huyo John Jairo Velasquez, aliyepewa jina la utani la Popeye, alikuwa ni mdunguaji mzuri wa kutumia silaha wa mfanyabiashara mkubwa wa dawa za kulevya Pablo Escobar.

Valasquez alikiri kuua watu 300 na pia kukiri kushiriki katika kufanikisha mauaji ya watu 3,000 katika miaka ya 1980 na 1990.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni