.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 7 Agosti 2014

MWANAMKE KENYA ANASWA AKIUZA WATOTO WAKE WAWILI KWA SHILINGI LAKI MBILI

Mwanamke mmoja nchini Kenya anashikiliwa na polisi baada ya kutaka kuwauza watoto wake wawili huko mjini Narok kwa kiasi cha shilingi laki mbili za Kenya.

Mwanamke huyo mama wa watoto nane amekamatwa eneo la Majengo mjini Narok, baada ya kuwekewa mtego na polisi, kufuatia kupatiwa taarifa na raia mwema kuhusu mwanamke aliyekuwa akiuza watoto wake.

Kwa mujibu wa polisi, mwanamke huyo ambaye mumewe alifariki miaka mitatu iliyopita alikuwa anawauza watoto hao wawili ili aweze kuwalisha wengine sita na kuwalipia ada bada ya wote kuacha shule.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni