.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 5 Agosti 2014

NHC WAKABIDHI MASHINE ZA HYDRAFORM MKOA WA DODOMA

1
Meneja wa NHC Mkoa wa Dodoma Bw. Itandula Gambalagi akikabidhi mashine 28 kwa Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dk Rehema Nchimbi katika hafla iliyofanyika katika ofisi za mkuu wa wilaya ya Chamwino.
2
 Mkufunzi kutoka VETA akitoa maelezo kwa Mkuu wa Mkoa jinsi mashine hizo zinavyofanya kazi.
3
Mkuu wa mkoa Dr Rehema Nchimbi akikabidhi mashine kwa wakuu wa wilaya za Chamwino na Kongwa kwa niaba ya wakuu wa wilaya zote za mkoa wa Dodoma. (Picha kwa hisani ya kittengo cha Mawasiliano na Huduma kwa Jamii cha Shirika la Nyumba la Taifa)

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni