.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 5 Agosti 2014

NYUMBA YA MAREHEMU MICHAEL JACKSON YAWEKWA SOKONI

Baada ya wiki iliyopita nyumba ya Mfalme wa Pop marehemu Michael Jackson kuwekwa sokoni nyumba nyingine ya mkali huyo wa Pop iliyopo Las Vegas imewekwa sokoni kwa bei ya dola milioni 19.5.

Nyumba hiyo aliishi Michael Jackson mnamo mwaka 2006 hadi 2008 aliporejea Marekani akitokea Bahrain ambapo alienda kujihifadhi baada ya kutokutwa na hatia ya kuwadhalilisha watoto.

Nyumba hiyo ina vyumba 12 ikiwa na sehemu ya chini ya ardhi inaukubwa wa futi mraba 7,394, pamoja na eneo la kukutana na wageni lenye uwezo wa kukaa watu 74.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni