.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumamosi, 9 Agosti 2014

WABUNGE MASHABIKI WA SIMBA NA YANGA WAONYESHANA UBABE KATIKA MCHEZO WA TAMASHA LA MATUMAINI

 Kikosi cha timu ya Wabunge mashabiki wa Yanga kikiwa katika picha ya pamoja kabla ya mchezo wao na Wabunge mashabiki wa Simba
 Beki wa timu ya Wabunge wa Simba, William Ngeleja akichuana na mshambuliaji wa Wabunge wa Yanga, Mwigulu Nchemba
 Mshambuliaji wa timu ya Wabunge mashabiki wa Yanga, Ridhiwan Kikwete ( kushoto ) akimtoka beki wa timu ya Wabunge mashabiki wa Simba, Adam Malima katika mchezo wa tamasha la matumaini uliofanyika katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam
                  Mashabiki wakiufuatilia mchezo huo ( Picha zote na Francis Dande )

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni