Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza
Baroness Warsi ambaye ni Muislam ametangaza kujiuzulu wadhifa huo
kutokana na kutokubaliana na msimamo wa serikali yake dhidi ya hali
ya Gaza.
Waziri huyo wa kwanza Muislam nchini
Uingereza ametangaza uamuzi huo usiotarajiwa kupitia akaunti yake ya
Twitter na kusema amefanya hivyo kupinga msimamo wa serikali kutokuwa na
sera zinazotetea Gaza.

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni