.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumamosi, 9 Agosti 2014

WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA YASHIRIKI KIKAMILIFU MAONYESHO YA WAKULIMA NANE NANE KITAIFA MKOANI LINDI

Watumishi wa Wizara ya Viwanda na Biashara wakiwa katika banda lao wakati wa Maonesho ya Wakulima Viwanja vya Ngongo Mkoani Lindi.
                       Watoto waliotembelea Banda lka Wizara ya Viwanda na Biashara.
Watumishi wa Wizara ya Viwanda na Biashara wakiwa katika banda lao wakati wa Maonesho ya Wakulima Viwanja vya Ngongo Mkoani Lindi.
Mshiriki akionesha bidhaa za Ngozi ndani ya mabanda ya Wizara ya Viwanda na Biashara.
Naibu Katibu mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara, Maria Bilia akizungumza na Waandishi wa habari.
Naibu Katibu mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara, Maria Bilia akiwa anatembelea mabanda ya maonesho.






Hakuna maoni :

Chapisha Maoni