.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 3 Septemba 2014

BALOZI KAMALA AKUTANA NA NAIBU GAVANA WA KANDA YA BRABANT WALONIA YA UBELGIJI


Balozi wa Tanzania Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala akimkabidhi zawadi Naibu Gavana wa Kanda ya Brabant Walonia ya Ubelgiji Mhe. Isabelle Kibassa Maliba baada kufanya mazungumzo naye ofisini kwake Wavre Ubelgiji


Kulia ni Naibu Gavana wa Kanda ya Brabant Walonia ya Ubelgiji Mhe. Issable Kibassa Maliba akimkabidhi zawadi Balozi wa Tanzania Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala baada kumaliza mazungumzo naye. Balozi Kamala yuko kwenye ziara ya kutembelea kanda mbalimbali za Ubelgiji.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni