.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 1 Septemba 2014

MANCHESTER UNITED YAMNASA RADAMEL FALCAO KWA MKOPO WA MWAKA MMOJA

Mshambuliaji wa Colombia Radamel Falcao amejiunga na Manchester United kwa mkopo wa mwaka mmoja utakaowagharimu paundi milioni 12 akitokea Monaco katika siku ya mwisho kabla ya kufungwa kwa dirisha la usajili.

Manchester United imewazidi kete Arsenal, Manchester City na Juventus katika kumnasa mchezaji huyo ambapo inasemekana atakuwa analipwa mshahara wa paundi 200,000 kwa wiki na klabu hiyo yenye maskani yake Old Trafford.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni