.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 1 Septemba 2014

POLISI NCHINI PAKISTAN WAWADHIBITI WAANDAMANAJI WALIOTEKA KITUO CHA TV

Kituo cha Televisheni ya Taifa cha Pakistani kimerejesha matangazo yake tena hewani baada ya vikosi vya usalama kuwaondoa waandamanaji wanaoipinga serikali kutoka katika makao makuu ya kituo hicho Jijini Islamabad.

Vikosi vimetumwa katika kuwadhibiti waandamanaji wasikitwae kituo hicho baada ya kuingia katika ofisi hizo za PTV.

Waandamanaji hao watiifu kwa kiongozi wa upinzani Imran Khan na kiongozi wa kidini Tahirul Qadri wanataka Waziri Mkuu Nawaz Sharif kujiuzulu kwa tuhuma za rushwa na wizi wa kura.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni