.
.
.
.
.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga
|
TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.
mbani
NYUMBANI
HABARI
SIASA
MICHEZO
BURUDANI
TABASAMU
KIMATAIFA
Ijumaa, 17 Oktoba 2014
BALOZI KAMALA AKUTANA NA VIONGOZI WA TAASISI YA AFRIKA RISE YA UBELIGIJI
Balozi wa Tanzania Ubeligiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala akizungumza na Viongozi wa Taasisi ya Afrika Rise ya Ubeligiji inayoandaa Wiki ya Maonesho ya Biashara Ubeligiji. Maonesho hayo yatafanyika mwezi wa nne mwaka 2015 na yatashirikisha zaidi ya kampuni 500 za Ubelgiji,Tanzania, Canada, Luxembourg na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. Viongozi wa Afrika Rise wamemtembelea Balozi Kamala ofisini kwake Brussels leo.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni
Chapisho Jipya
Taarifa za zamani
Nyumbani
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni ( Atom )
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni