.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 20 Oktoba 2014

KATIBU MKUU CCM, PHILIP MANGULA AZUNGUMZA NA VIJANA WA CCM AMBAO NI WANAFUNZI WA VYUO VIKUU NCHINI

Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Philip Mangula akihutubia Jumuia ya Wanafunzi wa Vyuo vya Elimu ya Juu katika Kongamano la Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere, lililoandaliwa na Vijana wa CCM wa Vyuo Vikuu, kwenye Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam, leo, Oktoba 19, 2014.
Katibu wa NEC, Irikadi na Uenezi, Nape Nnauye akimpongeza Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara), Mzee Mangula baada ya kuhutubia katika kongamano hilo. Kulia ni Katibu Mtendaji Mkuu wa CCM mkoa wa Vyuo Vikuu, Christopher Ngubiagai
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akihutubia katika Kongangamano hilo la Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere. Nape amewataka wasomi kutofumbia macho matatizo ndani ya CCM, badala yake wakati wakisifu mema wawe mstari wa mbele kuyafichua na kuyakemea mapungufu ili chama kiende na wakati
Katibu Mtendaji Mkuu wa CCM mkoa wa Vyuo vya Elimu ya Juu, Christopher Ngubiagai akizungumza wakati wa kongamano hilo la Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere.
Mwenyekiti wa CCM tawi la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam,, Theodora Malata akizungumza mwanzoni mwa kongamano hilo
Washiriki wakisikiliza kwa makini mada mbalimbali zilizokuwa zikitolewa wakati wa kongamano
Katibu Mwenezi wa CCM mkoa wa Dar es Salaam, Juma Simba akizingumza kwenye kongamano hilo.
Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Philip Mangula na Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye wakiwa na viongozi wengine meza kuu baada ya kuwasili ukumbini.(Picha na Bashir Nkoromo)

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni