Timu ya kikapu ya New York Knicks
imetumia vyema hofu ya nyota LeBron James usiku wa jana na kufanikiwa
kuishinda Cleveland Cavaliers kwa vikapu 95-90 katika dimba la
Quicken Loans Arena.
Mchezaji huyo wa Ligi Kuu ya NBA,
mwenye thamani ya juu, alirejea kuichezea timu ya nyumbani ya
Cavaliers tangu kupita miaka minne akiwa na Miami Heat hakuwa katika
kiwango chake katika mchezo huo na kupata pointi 17.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni