.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 24 Oktoba 2014

LUSH GARDEN HOTEL JIJINI ARUSHA SEHEMU PEKEE YA MAPUMZIKO SALAMA KWAKO PAMOJA NA KUMBI BORA ZA SHUGHULI MBALIMBALI

 Muonekano wa Lush Garden Hotel jijini Arusha iliyopo barabara ya Arusha - Namanga. 

Katika hoteli hii, mbali ya kujipatia huduma za malazi katika vymba vyake vilivyojitosheleza kila kitu ndani, pia kuna kumbi zaidi ya tisa kwa ajili ya shughuli mbalimbali kama mikutano, harusi, mahafali na nyinginezo. 

Kumbi hizi zina uwezo wa kuchukua idadi tofauti ya watu kuanzia 200 hadi 1,500 kwa wakati mmoja. Kwa mawasiliano wasiliana nasi kwa simu namba 0787 88 44 66, 0753 22 29 29 au 0786 40 11 40 

Email: lushbusinesshotel@yahoo.com
Website: www.lushgardenhotels.co.tz
 Muonekano wa moja kati ya kumbi tisa zinazopatikana Lush Garden Hotel jijini Arusha. Ukumbi huu umeandaliwa tayari kwa mkutano.
Ukumbi mwingine unaopatikana Lush Garden Hotel wenye uwezo wa kuchukua zaidi ya watu 1,000 unavyoonekana ukiwa tayari kutumika kwa harusi.



Hakuna maoni :

Chapisha Maoni