Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na viongozi wa
Bendi ya Msondo ngoma ikulu jijini Dar es Salaam leo mchana.Viongozi hao
walimtembelea Rais Kikwete ikulu leo na kufanya naye mazungumzo(picha na Freddy
Maro)
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akipiga picha ya pamoja na viongozi wa Bendi ya Msondo ngoma ikulu
jijini Dar es Salaam leo mchana.Viongozi hao walimtembelea Rais Kikwete ikulu
leo na kufanya naye mazungumzo(picha na Freddy Maro).
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni