.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 24 Oktoba 2014

WABUNGE WA KAMATI YA UCHUMI VIWANDA NA BIASHARA WATEMBELEA KIWANDA CHA KONYAGI

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Tanzania Distilleries Limited 'KONYAGI' Bw. David Mgwassa wa pili  kulia akiwaongoza wabunge wa kamati ya uchumi viwanda na biashara  kutembelea kiwanda hicho kilichopo Dar es salaam
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Tanzania Distilleries Limited 'KONYAGI' Bw. David Mgwassa kushoto akifafanua jambo mbele ya wabunge wa kamati ya uchumi viwanda na biashara  walipotembelea kiwanda hicho kilichopo Dar es salaam
Ofisa wa Kampuni ya Konyagi Bw, Alex Sanamba kulia akiwaonesha kinywaji cha zanzi wabunge wa kamati ya uchumi viwanda na biashara  walipotembelea kiwanda hicho
Wabunge wa kamati ya uchumi viwanda na biashara wakiangalia mashine inayotengeneza konyagi ya kiroba

Mjumbe wa kamati ya Uchumi viwanda na biashara Bi. Naomi Kaihula kushoto akiteta jambo na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Tanzania Distilleries Limited 'KONYAGI' Bw. David Mgwassa pamoja na Mkurugenzi msaidizi kutoka wizara ya viwanda na biashara Bw. Deo Ndunguru walipotembelea kiwanda cha Konyagi kujionea mambo mbalimbali

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni