Ajali hiyo imetokea karibu na kituo cha Gorakhpur, yapata kilomita 270 kutoka mji wa Lucknow.
Baadhi ya mashuhuda wamesema kuwa, ajali hiyo ilitokea baada ya treni ya Krishak Express iliyokuwa ikisafiri kutoka Varanasi kuelekea Gorakhpur kugongana na treni nyingine ya Barauni Express.
Katika ajali hiyo zaidi ya abiria 45 wamejeruhiwa.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni