.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 21 Oktoba 2014

WAZIRI MKUU MH MIZENGO PINDA AKUTANA NA MUASISI WA KAMPUNI YA INVEST AFRICA, AZINDUA JARIDA LA KUINADI TANZANIA NJE

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Mwenyekiti na Muasisi wa Kampuni ya Invest Africa ya Uingereza, Bw. Robert Hersov kabla ya mazungumzo yao kwenye hoteli ya Savoy,London Oktoba 20, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama Jarida la First baada ya kukabidhiwa nakala ya toleo la jaridai hilo na Muasisi wake, Rupert Goodman (kulia) kwenye ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza uliopo London , Oktoba 21, 2014. Jarida hilo limesheheni makala zenye kuinadi Tanzania na vivutio vyake nje ya nchi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza wakati alipozindua toleo la Jarida la First lenye makala mbalimbali za kuinadi Tanzania na Vivutio vyake nje ya nchi katika hafla iliyofanyika kwenye ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza, Oktoba 22, 2014. Kushoto ni Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Peter Kallaghe na kulia ni Mwanzilishi wa jarida hilo, Rupert Goodman. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na baadhi ya watanzania wanaosoma nchini Uingereza kwenye ubalozi wa Tanzania nchini humo uliopo London Oktoba 21, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni