Makumi ya watu wameuwawa katika
shambulio linalodaiwa kufanywa na wapiganaji wa kundi la Boko Haram
kaskazini-mashariki mwa Nigeria.
Wapiganaji hao wenye silaha
wamevamia kijiji cha Azaya Kura eneo la Mafa katika jimbo la Borno na
kuua watu 45.
Boko Haram wamekuwa wakimiliki
baadhi ya miji na vijiji kaskazini-mashariki mwa Nigeria katika wiki
za hivi karibuni.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni