.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 25 Novemba 2014

MAANDAMANO YA WAKAZI WA FERGUSON YAGEUKA YA UPORAJI NA UTEKETEZAJI MALI


Wakazi wa Ferguson, Marekani wamechoma moto majengo na magari ya polisi pamoja na kuiba mali madukani baada ya uamuzi wa mahakama wa kutomfungulia mashtaka afisa polisi aliyemuua kwa kumpiga risasi kijana mweusi Michael Brown ambaye hakuwa na silaha.
                                                        Polisi wakiwatimua waporaji dukani


Hakuna maoni :

Chapisha Maoni