.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumamosi, 1 Novemba 2014

MAELFU WAFURIKA KUTOA HESHIMA ZAO ZA MWISHO KWA NAHODHA WA TIMU YA TAIFA YA AFRIKA KUSINI

Maelfu ya waombolezaji wamefurika kwa wingi katika uwanja wa Moses Mabhida mjini Durban nchini Afrika Kusini kutoa heshima zao za mwisho kwa mlinda mlango na nahodha wa timu ya Taifa ya Afrika Kusini " Bafana Bafana ", Senzo Meyiwa ambaye aliuawa kwa kupigwa risasi wiki iliyopita. 

Meyiwa alipigwa risasi jumapili iliyopita nyumbani kwa mpenzi wake jijini Johannesburg baada ya wahalifu kuvamia nyumbani kwake.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni