Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, akifungua mkutano wa 17 wa kitaifa wa Taasisi za Fedha
kuhusu changamoto na fursa katika suala zima la uboreshaji sekta ya kilimo hasa
kwa wakulima wadogo wadogo, mkutano huo ulifanyika leo Novemba 23-2014 katika
ukumbi wa mikutano wa AICC Arusha.
Washiriki wa mkutano wa 17 wa kitaifa wa Taasisi za Fedha
kuhusu changamoto na fursa katika suala zima la uboreshaji wa Sekta ya kilimo
wakimsikiliza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, alipokuwa akifungua mkutano huo leo Novemba 23-2014
katika ukumbi wa mikutano wa AICC Arusha.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.
Mohammed Gharib Bilal katikati akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa
mkutano wa 17 wa kitaifa wa Taasisi za Fedha kuhusu changamoto na fursa katika
suala zima la uboreshaji sekta ya kilimo leo Novemba 23-2014 uliofanyika katika
ukumbi wa mikutano wa AICC Arusha.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni